Posted on February 12, 2008 by cj100
Waziri Mkuu Bwana Mizengo Pinda amesema moja ya majukumu atakayoshughulikia mapema zaidi ni matatizo ya walimu nchini ili kuzuia mgomo mkubwa uliopangwa kufanywa na walimu mwezi Mei mwaka huu.
Akizungumza moja kwa moja na Taasisi ya Utangazaji nchini, TUT, mara baada ya kuapishwa mjini Dodoma katika Ikulu ndogo ya Chamwino juzi, Waziri Mkuu alisema miongoni mwa [...]
Filed under: Bongo Habarii!!! | Leave a Comment »
Posted on February 12, 2008 by cj100
Amy Winehouse and Kanye West were the big winners at Sunday’s 50th annual Grammy Awards, each scoring multiple trophies — but in the surprise of the night, Album of the Year honors went to Herbie Hancock’s River: The Joni Letters, the legendary jazz pianist’s collection of Joni Mitchell covers (featuring guest artists like Norah Jones, [...]
Filed under: Sports na Michezo and Burudani | 2 Comments »
Posted on February 12, 2008 by cj100
Kondakta mmoja wa daladala amekufa papo hapo baada ya kuanguka kutoka kwenye daladala lake wakati likiwa kwenye mwendo mkali.
Kaimu Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Pius Sheka, amesema ajali hiyo imetokea mishale ya saa 2:00 usiku wa kuamkia leo katika barabara ya Sam Nujoma, karibu na Karakana ya Wachina iliyopo katika barabara hiyo.
Kamanda Sheka akamtaja [...]
Filed under: Bongo Habarii!!! | Leave a Comment »
Posted on February 12, 2008 by cj100
Rais JK ametangaza Baraza jipya la mawaziri, baada ya kuvunja baraza la mawaziri ya kufuatia Edward Lowasasa kujiuzulu baada ya kukumbwa na kashfa ya Richmond.
Akizungumza katika ukumbi wa Tamisemi mjini Dodoma amesema baraza hilo limepunguzwa na kubakia na Mawazirii 26 badala ya 29 wa awali na Manaibu 21 badala ya 31.
(Menejimenti utumishi wa umma)Hawa Ghasia.
(Ofisi [...]
Filed under: Bongo Habarii!!! | Leave a Comment »
Posted on February 12, 2008 by cj100
Newcastle midfielder Joey Barton will not have any action taken against him following an incident involving Aston Villa’s Shaun Maloney on Saturday. It was alleged that Barton took a swing at the Scottish forward during his side’s 4-1 defeat at Villa Park.
But after studying video evidence, the Football Association has cleared the 25-year-old of any [...]
Filed under: Sports na Michezo and Burudani | Leave a Comment »
Posted on February 12, 2008 by cj100
Zimbabwe’s ruling party has expelled ex-Finance Minister Simba Makoni who announced he would challenge Robert Mugabe for the presidency in March. “The rules are very clear that anyone who tries to challenge an elected candidate of the party stands expelled,” a Zanu-PF spokesman said.President Mugabe will face three challengers as both factions of the opposition [...]
Filed under: Afirca Bara Letu | Leave a Comment »