Posted on March 13, 2008 by cj100
The United States has said it will continue supporting efforts by Tanzania to enhance transparency and good governance and improve education.
However, it has cautioned that it could “walk away“ if the assistance it would extend towards that end landed in the pockets of a few people.
The US Ambassador to Tanzania, Mark Green, made remarks to [...]
Filed under: Bongo Habarii!!! | Leave a Comment »
Posted on February 26, 2008 by cj100
Posted on February 21, 2008 by cj100
Wanawake wameshauriwa kujiunga na Vyama vya Kuweka na Kukopa (SACCOS), ili kupata vipato vinavyoridhisha.
Mwenyekiti wa CCM, wilaya ya Same, Bw. August Kessy amesema kwa kujiunga na vyama hivyo watajiongezea vipato na hivyo kujiinua kiuchumi.
Akasema wanawake wengi wanaokumbana na manyanyaso katika familia ni wale vipato vyao si vya kuridhisha na hivyo kuwategemea waume zao.
Akasema ni haki [...]
Filed under: Bongo Habarii!!! | Leave a Comment »
Posted on February 18, 2008 by cj100
U.S. President George W. Bush, on a five-nation tour of Africa, has showered p raise on the anti-corruption efforts of Tanzania’s president, Jakaya Kikwete — whose government is receiving substantial aid from Washington.
“You are a strong leader,” Bush said Sunday during a press conference given with Kikwete in the Tanzanian financial capital, Dar es Salaam. [...]
Filed under: Bongo Habarii!!! | Leave a Comment »
Posted on February 12, 2008 by cj100
Waziri Mkuu Bwana Mizengo Pinda amesema moja ya majukumu atakayoshughulikia mapema zaidi ni matatizo ya walimu nchini ili kuzuia mgomo mkubwa uliopangwa kufanywa na walimu mwezi Mei mwaka huu.
Akizungumza moja kwa moja na Taasisi ya Utangazaji nchini, TUT, mara baada ya kuapishwa mjini Dodoma katika Ikulu ndogo ya Chamwino juzi, Waziri Mkuu alisema miongoni mwa [...]
Filed under: Bongo Habarii!!! | Leave a Comment »
Posted on February 12, 2008 by cj100
Kondakta mmoja wa daladala amekufa papo hapo baada ya kuanguka kutoka kwenye daladala lake wakati likiwa kwenye mwendo mkali.
Kaimu Kamanda wa Mkoa wa Kipolisi Kinondoni, Pius Sheka, amesema ajali hiyo imetokea mishale ya saa 2:00 usiku wa kuamkia leo katika barabara ya Sam Nujoma, karibu na Karakana ya Wachina iliyopo katika barabara hiyo.
Kamanda Sheka akamtaja [...]
Filed under: Bongo Habarii!!! | Leave a Comment »
Posted on February 12, 2008 by cj100
Rais JK ametangaza Baraza jipya la mawaziri, baada ya kuvunja baraza la mawaziri ya kufuatia Edward Lowasasa kujiuzulu baada ya kukumbwa na kashfa ya Richmond.
Akizungumza katika ukumbi wa Tamisemi mjini Dodoma amesema baraza hilo limepunguzwa na kubakia na Mawazirii 26 badala ya 29 wa awali na Manaibu 21 badala ya 31.
(Menejimenti utumishi wa umma)Hawa Ghasia.
(Ofisi [...]
Filed under: Bongo Habarii!!! | Leave a Comment »